Ah! Shangazi Mela 7e

by Rebecca Nandwa


Nanjira anajipata njiani tena,wakati huu kutoka mashambani kuelekea nairobi.Ingawa kumbukumbu za maisha aliyoishi na wazazi wake zinamjia anapopata mjini Naivasha,Ana raha ya kwenda kusomea Nairobi.Nani asingefurahia kusomea jijini?lakini kile ambacho nanjira hajui ni kuwa shangazi yake.mela.Ana mpango tofauti....ah! Shangazi mela ni mojawapo ya hadithi katika mradi w akusoma.Huu ni mradi wa vitabu vya ziada ambayvo vianaambatana na kozi ya kiswahili sanifu

ISBN: 9780195739473 SKU: 2010143000741
KES 331
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect