Ajali ya Keki 3A

by Storymoja


Mpango wa Leshan, Aida na marafiki zaounatumbukia nyongo baada ya qjali ya keki. Je, wa kulaumiwa ni nani?Wataendelea na mpango wao au watautupilia mbali? Unafikiri mbuzi kisirani anayeleta hasara anafaa kufanyiwa nini? Soma hadithi hizi ufahamu jinsi Aida na nduguye Leshan pamoja na marafiki zao wanavyokabiliana na changamoto mbalimbali huku wakijifunza umuhimu wa_ kushirikiana, kuheshimiana na kudumisha upendo katika jamii.

Ajali ya Keki na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua zinazolenga kukuza maadili ya upendo, umoja na heshima miongoni mwa wasomaji.

ISBN: 9789966623843 SKU: BK00000005192
KES 480
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect