Anasa

by Yusuf m King'ala


Hawa, msichana mbichi ambaye anaendelea vyema na masomo yake anashikana urafiki wa kimapenzi na Mzee Tamaa. Urafiki huu ambao umejaa Anasa, unafikia kikomo baada ya Hawa kutambua kuwa yu mja mzito. Hawa anakimbilia mjini ambako anaajiriwa kazi katika bar. Anasa anazaliwa katika mazingira mabaya ambayo yanamfanya kuwa mwehu. Mwisho Anasa anakuwa jambazi, mhalifu na mwizi stadi. Baada ya mikasa kadha ya uhalifu Anasa ananaswa na kuhukumiwa kunyo-ngwa. Swali ni hili. Ni nani hasa mwenye hatia katika hadithi hii?

ISBN: 9789966462039 SKU: 2010143000057
KES 350 KES 489
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect