Babu Alipofufuka


Katika riwaya ya Babu Alipofufuka ulimwengu wa ndoto na uhalisia vyote vinatikiswa na tunawasilishiwa ulimwengu mwingine wa makadirio. Lakini utikisaji huu si wa uchokozi tu, bali pia ni utikisaji uliokusudiwa kutubainishia dunia kwa uwazi zaidi. Babu Alipofufuka ni riwaya inayotufungulia milango tuone namna jamii inavyoweza kumwingilia mtu hata asiweze kujitanzua kutokana nayo. Riwaya hii ni nyongeza muhimu sana katika fasihi ya Kiswahili.

KES 404
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
Author Saida A.Mohamed
ISBN 9966221808
SKU2010143000074

Reviews

Leave a product review
or cancel