Barua ya Maisha 3b

by Hezron Mogambi


"Ouma, amka. Kuna nini? Mbona huamki? Saa za kwendashuleni zimefika," alisema babake Ouma.Baada ya kuugongagonga mlango kwa muda hakusikiachochote.Wazazi wake Ouma walimwambia mmoja wa wafanyakazi auvunje mlango wa chumba cha Ouma. Mlango ulipovunjwa, kila mmoja alipigwa na butwaa; Ouma hakuwa mle ndani. Dirisha la chumba chake pia lilikuwa wazi ...Barua ya Maisha ni kitabu usichoweza kukiacha hadi usome hadithi nzima. Hadithi hii itawasisimua wasomaji kwa jinsi ilivyosimuliwa kwa ufundi mkubwa.

ISBN: 9789966341884 SKU: 2010143000100
KES 406
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review