Beluwa


Beluwa: We! Hukubisha? Unaingiaje hapa hivi hivi tu? Hujui kuwa huku kuna wenyewe?Miaka minne baada ya kukata rufaa, Beluwa bado yuko rumande. Anakutana ana kwa ana na ukweli baada ya kusombwa na wimbi kali la mkono wa sheria. Akiwa rumande anakutana na wafungwa wenzake; Tanda na Mtu. Hi kupitisha muda wakisubiri kusikilizwa kwa kesi zao, wanacheza michezo ya kitashtiti inayotalii kadhia zinazoumeza ulimwengu.Beluwa ni mchezo wa kibwege unaoburudisha ajabu!

Out of stock
KES 360

You can get an email alert when this product is back in stock.

International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect
SKU2010129000153

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review