Chamchela

by Timothy M..Arege


Chamchela ni tamthilia inayotathmini mkinzano uliopo kati ya pande mbili za wanajamii; 
mmoja wenye kuvutia katika jana na leo na mwingine katika leo na kesho bila kila upande kutambua kuwa unaishi leo. 
Ni hadithi inayohusu kijana maskini, Mayaka, ambaye anajikuta baina ya kani mbili ambazo zinamzonga, Kwa upande mmoja, 
jamaa zake wanamsukumia shinikizo za kumtaka aukate uhusiano wake na Bisase. Kwa upande mwingine, 
Bisase ni mfadhili wake mkuu katika hali yake
 

ISBN: 996622582x SKU: 2010143000093
KES 399
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect