Chanzo cha Kiswahili Kitabu cha Kwanza

by Smartbrains


Kitabu cha chanzo cha Kiswahili kimekusudiwa kuunda msingi dhabiti wa lugha ya Kiswahili.

Kimeandikwa kuambatana na mfumo mpya wa C.B.C Kwa kuzingatia silabasi ya mfumo huu.

Pia kimenuia kuinua kiwango cha lugha Kwa kutumia mbinu za kusikiliza, kuongea, kusoma na kuandika.

Yaliyomo:

-Mazoezi ya kutosha.

-Hadithi fupi fupi .

-Picha za kuvutia.

-Msamiati wa kukuza lugha.

ISBN: 9780996671781 SKU: 2010127000664
KES 405
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect