Chozi Langu (KLB)

by Hezron Mogambi


CHOZI LANGU ni  hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za Nasaha Zetu zinazochapishwa na KLB.

Ni hadithi inayolenga wanafunzi wa shule za upili kwa minajili ya fasihi.

Je, maisha ni machozi? Huanza kwa chozi? Lazima chozi liwe machozi? Chozi kweli laweza kuepukika? Anayelia anapoyatafakaria maisha, ana uwezo wa kuchagua  kutolia. Ndiyo, kila kijana anaweza kuepuka chozi, hamna chozi la kutoepukika.

Maswali haya chungu nzima yatafikirika kwa kina unapoungana na Mliwa, Bonuke na Kajogoo katika hadithi hii ya kusisimua ya CHOZI LANGU. Wenye busara walisema kuwa fimbo ya mnyonge milifi Mungu. Je, ni ukweli?

ISBN: 9789966101235 SKU: 2010143000987
KES 587
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review