Damu ya Simba

by Story Moja

by Muchemi


Bata Kwekwe ni mwoga wa kupindukia hadi wenzake wanamdhihaki. Anapotumwa na mamaye shambani, mabata wenzake wanamzuia njiani na kumnyang'anya kikapu. Anatoroka na kukutana na Nyoka jasiri. Je, Nyoka anamsaidia vipi kuibua sifa ya ujasiri?

ISBN: 9789966621207 SKU: 2010143001016
KES 400
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect