Dau la Angelika


"Umetia doa taadhima na sifa njema ya Klabu Sambe na Jambe kwa kujifanya kinyaunyau wa kuwatia meno na kucha wateja mashuhuri Enhe! Mwadhamu Kimbaumbau, mwasisi wa Klabu Sambe na Jambe, sikusudii jeuri, lakini je, una binti kweli? Angenyanyaswa hivyo ungemshangilia mtesi wake, sivyo? Pukachaka Kwa mara ya kwanza Angelika anamlaumu Mungu kumuumba mwanamke. Alijiona kama nondo aliyekimbilia mwangaza wa taa sasa ukimwunguza polepole. "Sijui ni kwa nini wahenga hawakusema, "Mzee akililia mauti mpe....!" Kufa! Unasikia? Kufaaa! Moja..... Mbili..... Tatu Ilikiwaje Binti Angelika, mzaliwa wa mtaa duni Shimo la Tewa— Kitale kujipata katika klabu ya aina yake Pwani? Je, ni kitendawili kipi kilichowakutanisha, kuwazonga, kuwachachafya, kuwainamisha nyuso, kuwatoa chozi na kuwaandalia mauti Bw. Kimbaumbau na Binti Angelika katika ulimwengu uliojaa utata?

KES 740
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
SKU2010143000590

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review