Dharau ya Ini

by K.W.Wamitila


Dharau ya Ini ni riwaya inayoonyesha jinsi mapambano kati ya uovu na wema yanavyotokea katika jamii. Kwenye jira ya mapambano hayo wapo Lila na Derby, waandishi wa habari wa kike, ambao wanakumbana na mawimbi ya bahari ya maisha yao katika jamii yenye kani nyingi. Kazi ya wanahabari hawa inaingiliana na ya Mwenyekiti Munene, shujaa na jasiri mkubwa mwenye ndoto kubwa na Waziri Kisingo Kanda. Matokeo ya mtagusano huu ni hadithi yenye mvuto, taharuki na drama ya aina yake.Hii ni riwaya inayosheheni ucheshi mwingi, yenye matumizi mapana ya tashtiti na ukwasi wa mbinu za kifasihi. Ni riwaya ya kipekee katika fasihi ya Kiswahili hasa kutokana na ubunifu na upya anaouonyesha mtunzi wa riwaya.

ISBN: 9789966773210 SKU: 2010143000343
KES 464
International delivery
Free delivery on orders over KSh 0
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review