Dira ya Kiswahili Marejeleo Kamili ya Kiswahili 6

by Wafula wa Wafula, Vidijah Dalizu, Jean Soita

 • ISBN: 9789966478924
 • SKU: 2010127000688

DIRA YA kISWAHILI  Kimeandikwa kumsaidia mwanafunzi na mwalimu. Kimezingatia stadi za lugha tano:

 Kusikiliza na kuongea, Kusoma, Sarufi, Msamiati na Kuandika.

 Katika kiwango hiki, ni muhimu mwanafunzi kujenga na kukuza stadi za lugha ili kujiamini na kukomaa katika Kiswahili. 

muundo wa kitabu 

1. Kuna sura 15: Kila sura ina sehemu ya Kusikiliza na kuongea, kusoma, Kuandika, Sarufi na Msamiati.

2. Baada ya kila sura kuna kibindo cha maswali. Sehemu hii imejumlisha maswali kutoka sehemu mbalimbali na yanakuza stadi za lugha.

3. Mwisho wa kila sura kuna Majaribio. 

4. Kuna mihula mitatu.

5. Mwisho ni Malibu ya mazoezi na majaribio ya mitihani yote. 

KES 755

Customer Reviews

This product does not have any reviews yet - be the first to write one.

You may also like

 1. Kiswahili Sanifu Darasa la 6
  Kiswahili Sanifu Darasa la 6
  by Bakhressa
  KES 695
 2. Kiswahili Kwa Darasa la 6
  Kiswahili Kwa Darasa la 6
  KES 668