Dira ya Uandishi wa Insha kwa shule za msingi

by Michael K. Waweru, Dkt John Kobi, Florence O, Mutekwa, DAvid M. Kamau, Atibu W. Bakari


Kuandika ni stadi muhimu katika maisha ya binadamu. Hii ni njia mojawapo anayotumia binadamu kuwasiliana na wenzake kwa insha. Ni kwa kutambua umuhimu huu, ndipo kitabu hiki Dira ya Uandishi wa Insha kwa shule za Msingi kinashughulikia kwa ufarisi masuala muhimu yanayohusiana na uandishi kama njia ya kuwasiliana. 

Dira ya Uandishi wa Insha kwa shule za msingi ni kurunzi inayomwongoza msomaji kupata njia no mwelekeo ufaao katika msingi wa uandishi. Kitabu hiki kinashughulikia utungaji wa sentensi, aya na insha kwa ukamilifu. Aidha, kimemwelekeza msomaji kuhusu uakifishaji no mwandiko bora. Aina zote za insha, sifa zake, miqno tele no mazoezi kemkemu yametolewa. Isitoshe, ili kumwandaa mtahiniwa kwa mtihani wa Kiswahili wa KCPE, mitihani vielelezo ya insha imetolewa. 

SKU: 2010127000467
KES 638
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review