Embe tamu 5a

by Kimani Njogu


Embe Tamu 5a ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msjngi wa kdsomo pa kutaiza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Tanokafikashiiiezamsingi. ' Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi.
  • Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia utambaji wa hadithi. vichekesho, tashihisi. mbinu rejeshi. taharuki, picha zenye rangi za kupendeza na sentensi fupifupi.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya fasihi simulizi. maumbile na sayansi ya mhusika mkuu embe/mwembe, asili ya vitu. pamoja na maadili mema kama vile subira, uvumilivu na wajibu. 

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

ISBN: 195730771 SKU: 2010143000233
KES 232
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect