Habari za Mawio 8C


Habari za Mawio 8c ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na Kukuza uwezo wao wa kusoma.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya utambaji hadithi na hadithi ndani ya hadithi.
  • kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, mbinu rejeshi, vichekesho, utani, sajili (lafudhi) ya lugha, taswira na picha za rangi zenye kusisimua.
  • kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya kuwaheshimu watu wote, udugu, utamaduni, kujali wengine, haki na uadilifu, kazi na uwajibikaji, utu, afya (ukimwi, madawa ya kulevya), habari na mawasiliano.

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

KES 284
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect
Author Masoud Nassor
ISBN 9780195733808
SKU2010143000462

Reviews

Leave a product review
or cancel