Hamnazo na Hadithi Nyingine

by Queenex


"Leo nilikuja ofisini mwako kukuletea zawadi ya shilingi milioni moja taslimu. Usiku mwema." Ni nani huyu aliyekwenda ofisini kupeleka zawadi hii? Naye alikuwa anampelekea nani? Kwa nini akajishinikiza kupeleka zawadi kubwa kadiri hiyo? Majibu ya maswali hayo hayapatikani pengine popote ila katika hadithi hii ya Hamnazo. 

 

ISBN: 9789966075284 SKU: 2010143000854
KES 290
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect