Hamu ya Kupaa


"... Kwa muda mrefu amefikiria njia za kuruka angani. Hajapata njia hata moja mpaka sasa. 
Hujaribu mara nyingi kuruka. Lakini mwili wake hubaki umeganda ardhini ...
Je, Sukwa atafanikiwa katika jaribio lake la kutaka kupaa angani kama ndege? 
Soma ili upate kufahamu iwapo ndoto ya Sukwa ilitimia au la.
Hadithi za Adili zimekusudiwa kuburudisha na kuelekeza.
Kitabu hiki kimependekezwa kwa madarasa ya chini katika shule za msingi.
 

KES 255
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect
UPC2010143000633
SKU2010143000633

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review