Homa ya nyumbani na hadithi nyingine

by "Walibora, Mohamed"


Fasihi ni kioo cha jamii. Hadithi fupi, kama utanzu wa fasihi, huweka wazi masuala na matukio katika jamii kiasi cha jamii kueleweka na kutambulika. Uhusiano miongoni mwa wanajamii husawiriwa kupitia mienendo, mazungumzo, matendo na fikira ya wahusika. Hali ambayo huwafanya wapenzi wa fasihi, haswa hadithi fupi, kujua jinsi jamii yao ilivyo, na kwa hivyo, kuendeleza maadili ama kupogoa jambo lolote linaloenda kombo.

Mkusanyiko huu wa Homa ya Nyumbani na Hadithi Nyingine ni wa pekee na hauna mwenza wala mshindani. Waandishi wa hadithi zake wana falsafa, misimamo, mitindo na maono faafu kwa jamii yetu na kizazi kijacho.

 

ISBN: 9789966478726 SKU: 2010143000841
KES 475
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review