Insha Sadikifu Shule za Msingi

by Obondo, Mosoti


Insha Sadik Shule za Msing kitabu kilichoandikwa na walimu waliobobes 
katika ufundishaji na usahihisho wa insha kwenye shule za msingi nchini 
Kenya Uandishi wake umejiita kwenye silabasi mpya ya shule za msingi. 
Isitoshe, yaliyomo ndani ya kitabu hiki ni tokeo la utafiti mkubwa 
uliofanywa kote nchini na waandishi kuhusu chanzo cha matatizo yanayowakumba 
wanafunzi wa shule za msingi na baadhi ya walimu wao katika 
fani ya uandishi wa insha Baadhi ya sifa kuu zinazokifanya kitabu hiki kuwa bora zaidi ni •
 Macleo kuhusu maandalizi kabambe kabla ya kuandika insha . Ufafanuzi wa kina wa mazingatia 
muhimu katika uandishi wa insha
Maelezo ya pekee kuhusu uakiishaji wa maandishi Mwangaza juu ya lugha bora za insha na zile 
zisizofaa kutumiwa katika insta Maelekezo kuhusu namna ya kuandika insha zote kwa mujibu wa 
silabasi ya shule za msing Maelezo ya maana na mifano mbalimbali ya fani za kugha zitazo kutumiwa
 

ISBN: 9789966259721 SKU: 2010127000585
KES 587
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect