Isimujamii kwa Wanafunzi

by "Buliba, Njogu"


Isimujamil kwa Wanafunzi wa Kiswahili ni kazi inayonuia kukidhi baadhi ya mahitaji ya kimsingi ya usomi wa Kiswahili katika shule za upili, vyuo vya ualimu, vyuo vikuu na taasisi zingine zinazoshughulikia lugha na mawoasiliano. Pamoja na kufundishwa katika viwango mbalimbali vya elimu, Isimujamii ni taaluma inayoonekana kuingiana na mahitaji ya taaluma zinazotumikiza maarifa juu ya mfumo wa lugha. Isimujamii humulika jinsi vigezo mbalimbali vya kijamii vinavyoathiri matumizi ya tugha.

Lengo kuu la /simujamil kwa Wanafunzi wa Kiswahili ni kusisimua uelewa na uthamini wa vigezo muhimu vya matumizi ya lugha, pamoja na kuhamasisha wasomi kwa utafiti wa masuala nyeti yanayohusu uwiano wa lugha na jamii. Ili kudhibiti lengo hili, masomo yote ambayo yameunda kitabu kamili yamewasilisnwa kwa maelezo na udhihirishi wenye uangavu. Uangovu mahususi umenuiwa kurahisisha usomaji bila kubatilisha uzito wa dhana na hoja msingi. 

ISBN: 9789966225030 SKU: 2010127000179
KES 465
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review