Jicho La Ndani

by Said A. Mohamed


Katika diwani zake za nyuma — Sikate Tamaa na Kina cha Maisha — mshairi huyu. Said A. Mohamed, ameonyesha kukerwa na kujishughulisha sana na matatizo yanayotokea katika nchi yake na Afrika kwa ujumla. Katika diwani hii tunaweza kumwita "mwenyeji" na "mlimwengu" kwani baadhi ya mashairi yake katika diwani hii ni yenye maudhui yanayoakisi matatizo ya dunia yetu nzima hivi leo. Zaidi ya hayo, mshairi huyu amejishughulisha na maswala ya "mapenzi" na ''unyumba". 

 

SKU: 2010143000069
KES 615
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect