Kamusi ya Fasihi

by Wamitilia


`Upekee wa kamusi hii ni kwamba inatupa neno, fasili yake na mifano au vielelezo kutoka fasihi ya Kiswahili...Ni kazi kubwa aliyoifanya Wamitila na inamweka yeye na kamusi yake katika kumbukumbu ya kudumu ya tarihi ya taaluma ya fasihi ya Kiswahili' .'Kamusi hii ni tunu bora katika kuzisanifisha istilahi katika taaluma ya fasihi.,,Ni hidaya kubwa kwa wanafunzi na walimu kuanzia shule za sekondari hadi vyuoni. upekee wa kupigiwa mfano, Huu ndio msingi madhubuti wa kutaalamika katika somo la fasihi ya kiswahili...' .'Katika kamusi hii ya uhakikiwa fasihi ya Kiswahili, Daktari Wamitila amefungua ukurusa mpya wa namna fasihi ya Kiswahili inaweza kuelezwa na kufafanuliwa. Hit ni kamusi ya kipekee katika lugha ya Kiswahili na itawafaa sana walimu na wanafunzi wa fasihi yetu' .'Kamusi hii haelezei istilahi tu bali inafundisha fasihi...ni kamusi nzuri itakayoziba pengo lililo bayana katika taaluma ya fasihi. .`Mwandishi anatoa maeiezo na ufafanuzi kabambe wa kila kidahizo pamoja na mifano tosha .Hii dhihirisho la namna mwandishi alivyo na tajriba ya kutosha katika utaftti wa kina na usomaji wa kazi za kifasihi.'

ISBN: 9966882796 SKU: 2010127000077
KES 696
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect