Kamusi ya Methali maana na matumizi


Kamusi ya Methali: Maana na Matumizi ni kitabu chenye mkusanyiko mkubwa wa methali za Kiswahili. Kamusi hii imezieleza na kuzifafanua methali kwa mtindo mwepesi na wa kina. Hii ni kamusi yenye mpangilio wa kipekee ambao utamsaidia mtumiaji wa kamusi kuzielewa na kuzilinganisha methali.

Sifa nyingine za kamusi hii ni:

  • Zaidi ya methali elfu tatu na themanini.
  • Visawe vya methali vinavyozidi elfu moj a mia nne arobaini.
  • Ufafanuzi mwafaka wa msamiati uliotumika katika methali.
  • Maelezo ya kina ya matumizi ya methali.
  • Muundo na mtindo wa kuvutia.

Hii ni kamusi ya lazima kwa kila mwanafunzi na mpenzi wa Kiswahili popote alipo. Ni kanzi au hazina ya kuenziwa na walimu na wataalamu wa lugha ya Kiswahili

KES 849
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect