Kaponea Chupuchupu

by Akberali manji


Bunduki yake Hassan Ngunda, mkuu wa walinda wanyamapori katika mbuga ya Tsavo Magharibi, imetoweka kiajabu kutoka chumba chake cha kulala. Wakati huo huo, mwanawe Fadhili haonekani. Ni kipi kimetokea? Msako mkali unaanzishwa, na punde si punde unawaelekeza polisi kwenye `mwizi' wa bunduki pamoja na genge hatari la wawindaji haramu...

ISBN: 9789966471363 SKU: 2010143000005
KES 246
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect