Karamu Mbinguni

by Njiru Kimunyi


Kutokana na sifa zao njema kwake Mwenyezi Mungu, ndege wamepata mwaliko wa kutalii mbinguni. Wamepewa uwezo wa kuyabadilisha maumbile yao vile wanavyotaka. Katika kufanya hivi, wengine kama Bundi wanaongozwa na nia mbaya. Mzee Kobe naye anadanganya kuwa ukoo wake ulitokana na ndege. Kwa wale wenye nia safi, karamu ya mbinguni inaishia kuwa furaha isiyo kimo. Wenye nia mbaya nao wanaupata mshahara wa vitendo vyao.

ISBN: 9966472347 SKU: 2010143000253
KES 210
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review