Katala na Genge la Wezi

by EAEP


Vitabu vya Nyota vimetungwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili. Lugha iliyotumiwa ni ile yenye kuvutia na hadithi zenyewe ni za kuburudisha. 

Katala na Genge la Wezi ni kisa cha kusisimua sana. Kinamhusu mvulana shujaa kwa jina Katala, anayefanikiwa kulifichua genge la wezi. Hatimaye wezi hao wanatiwa mbaroni na polisi. 

 

ISBN: 9789966254375 SKU: 2010143000372
KES 300
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect