KCPE Homestretch Kiswahili


KCPE Homestretch ni msururu wa vitabu vya marudio vinavyolenga kuimarisha matokeo ya wanafunzi katika mtihani wa KCPE.
KCPE Homestretch: Udurusu na Mitihani ya Kiswahili kimeandikwa na wataalamu wenye tajiriba pana katika 
ufundishaji na utahini wa Kiswahili katika kiwango cha kitaifa ili kumpa mwanafunzi ujuzi, mbinu na maarifa zaidi katika 
mkondo wa mwisho wa marudio, kabla ya mtihani mkuu.. Kitabu hiki kimepangwa kwa kufuata utaratibu wa karatasi za mtihani: 
Karatasi ya Lugha, ambayo ina vihasho, matumizi ya lugha na ufahamu; na Karatasi ya Insha. Katika kila sehemu, mwanafunzi ameelekezwa kuhusu:
mambo yanayoangaziwa katika mada husika yale ambayo anajaribiwa kwayo . . 
• maarifa au ujuzi anaofaa kuwa hao katika sehemu husika jinsi ya kujiandaa kwa maswali ya sehemu husika . 
• jinsi ya kukabili kila sehemu katika mtihani 
• makosa ya mara kwa mara yanayofanywa na watahiniwa katika kila sehemu ...jinsi anavy kuepuka 
makosa kama hayo Zaidi ya hayo, kitabu hiki kinampa mwanafunzi mazoezi maridhawa katika kila sehemu. 
Aidha, kina Mitihani Miigo 15 ya KCPE, na Majibu, ili kutoa taswira kamili ya mtihani. Vitabu vingine kwenye msururu huu: 
• KCPE Homestretch: Mathematics Revision & Test Papers
KCPE Homestretch: English Revision & Test Papers, KCPE Homestretch: Science Revision & Test Rapers: KCPE Homestretch: 
Social Studies Revision & Test Papers KCPE Homestretch: CRE Revision & Test Papers

KES 580
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect