KCPE Kilele cha Kiswahili

by Wafula


Kilele cha Kiswahili ndicho kile kile kilichojulikana kwa jina to Kiswahili Jalili. Kiswahili Jalili sasa kimeboreshwa hadi kufikia kileleni; yaani Kilele cha Kiswahili. Kilele cha Kiswahili ni miongoni mwa vitabu vingine katika msururu wa KCPE Summit Revision. Kitabu hiki:

  • Kimefikisha Kiswahili kwenye kileleta cha lugha na kubadilisha mkondo wa kufunza Kiswahili kulingana na mabadiliko ya mtindo wa utahini wa mtihani wa KCPE miaka michache iliyopita.
  • Kina mazoezi ya majaribio ya KCPE yaliyojumulishwa kwa ajili ya kumwandaa mtahiniwa kufanya mtihani wake.
  • Kinazingatia kwa ukamilifu silabasi iliyoidhinishwa.
ISBN: 9789966478245 SKU: 2010127000550
KES 870
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect