Premier Golden Tips KCSE Kiswahili kwa Shule za Upili


KCSE Golden tips Kiswahili

Vidokezo Muhimu:

  • Kimeandikwa kwa utaalamu ili kutimiza mahitaji ya silabasi ya Kiswahili ya KCSE
  • Mpangilio unaorahisisha uelewa wa mada
  • Maelezo mwafaka
  • Mifano kemkem inayofungamana na mazingira katika kuelewa dhana
  • Ufafanuzi wa utaratibu na jinsi ya kujibu maswali
  • Maswali ya kudurusu na majibu yake baada ya kita mada
  • Karatasi kumi na tano za mitihani ya majaribio pamoja na majibu yake
KES 986
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010127000073
Author Moran
ISBN 9789966342423
Publisher Moran
Weight (kg) 0.4
SKU2010127000073

Reviews

Leave a product review
or cancel