KCSE Sharidi Mwamba wa Sarufi


Mwamba wa Sarufi ni kitabu faridi kinachoitia silahasi ya shule za upili. 
Aidhani kitabu foafu kwa walima na wanafunzi wa viwango vingine vya elimu 
kama vile vyuo vya walimu na vyuo vikuu vilevile wapenzi wengine wote wa Kiswahili. 
Baadhi ya sifa za kipekee kukihusa kitabu hiki ni
Sura kumi na moja nye vipengele wasruli vilivyoangatiwa kwa ukato kwa
mujibu wa silahasi. 2 Hoja za ziada ambazo zimedadavuliwa kitaalamu na kwa kujikita katika silabasili
kuondoa mapungufu katika sarufi 3. Macizo ya kumtanabaisha mcmaji kuhusu vipengele mbalimbali vinavyohitaji
umakinifu mkubwa 4. Mifano mingi na sentensi zinazorahisisha uelewa wa hoi na dhana mbalimbali
kitabumi. 5. Maswali ya maoni yaliyotungwa kwa ustadi katika kila sua pamoja na majibu. 
6. Marczi ya ziada ya kumwezesha mwanafunzi kujitathmini ipasavyo kuhusu mada
zimo w u katika kila sura 7. Viele vya KCSE Matumizi ya lugha pamou na majibu
Mwandishi wa Mwamba wa Sarufi. Geoffrey Mungon, ni mtaalamu maarufu mwenye shahada ya uzamili 
katika Kiswahili kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta. Ana tairiba ya miaka mingi ya kufunga na kutoa ushauri 
kuhusu Somo la Kiswahili. Aidha amechangia mno mafunzo ya Kiswahili katika vyombo vya habari nchini Kenya na Ujerumani, 
hata kuwa Mhariri Mkuu. Mbali na kuwa wanaleksikografia Bw. Mungu ameandika kati nyingine nyingi za kiakademia. 
Ameshinda tuzo mbalimbali kutokana na mchango wake adhimu wa kukiendelea Kiswahili.

SKU: 2010127000750
KES 795
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review