Kichocheo cha Fasihi Simulizi na andishi


Kichocheo cha Fasihi: Simulizi na Andishi ni kitabu kilichoandikwa kwa mtindo mwepesi na rahisi kusomeka. Kitabu hiki kinachunguza vipengele vya kimsingi vya fasihi simulizi na fasihi andishi kwa undani unaopatikana kwa nadra sana katika vitabu vilivyochapishwa.Je,Kuna tofauti gani kati ya fasihi simulizi na andishi? Je, ni zipi tanzu kuu za fasihi simulizi? Je, ngomezi ni nini? Je, zipi tanzu kuu za fasihi andishi? Je. kuna tofauti gani kati ya fani ya maudhui, dhamira na maudhui. ujumbe na falsafa?Haya ni baadhi ya maswali yanayojibiwa kwa njia ya Kuvutia na inayoeleweka vizuri sana. Mtindo wa Kichocheo cha Fasihi, pamoja na undani wake, unalifanya somo la fasihi kuwa na mvuto mkubwa na kuweza kueleweka vyema kuliko ilivyokuwa kabla. Ni kitabu cha lazima kwa wanafunzi na waalimu katika shule za upili, vyuo vya ualimu na vyuo vikuu

KES 638
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
SKU2010129000026

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review