Kijana Mpelelezi


Kangwana na Maria wanaalikwa na shangazi yao kumtembelea wakati wa likizo. Lakini wanapofika huko wanakumbana na mambo mengine kuihusu nyumba ya shangazi. Kangwana, ambaye ni mpevu wa umri, anaamua kufanya uchunguzi kuihusu nyumba hiyo. Soma kisa hiki cha kuburudisha ujue nyumba hiyo ina nini. Je, ni siri gani ambayo imefichwa kwa miaka mingi? Je, mwisho wa kisa chenyewe ni nini?

KES 217
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
Author K W Wamitila
ISBN 9789966773197
SKU2010143000350

Reviews

Leave a product review
or cancel