Kinga ya Rushwa

by Kawegere


Mama anapopata mimba, yeye na Baba wanakuwa na furaha kuu. Hawajui kutakuwa na shida nyingi zitakazoletwa na kansa ya rushwa ambayo imesambaa katika sekta nyingi. Lakini mama ana bahati moja. Daktari anayemtibu anaichukia rushwa na amejitolea kuitafuta kinga yake...

ISBN: 996647241x SKU: 2010143000190
KES 354
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect