Kioo cha KCSE Kiswahili

by Waihiga


Kioo cha KCSE Kiswahili ni toleo la kipekee linaloangazia ufaafu wa Silabasi mpya kwa manufaa ya wanafunzi wa vidato vya I, 2, 3 na 4. Kitabu hiki kinawapa wanafunzi mwelekeo ulio wazi kwa lengo la matayarisho ya mtihani wa kitaifa wa KCSE. Muundo wa Kitabu: Kitabu hiki kina sura sita ambazo zimeshughulikiwa kwa ufasaha kikimlenga mwanafunzi/mtahiniwa kwa manufaa yake. Sura ya Kwanza inaangazia insha mbalimbali zinazotahiniwa, insha za kubuni na insha za kivamilifu. Suraya Pill inahusisha Ufahamu,Ufupisho,Sarufi na Matumizi ya Lugha. Su ra yaTatu inamulika IsimuJamii ambayo imekadiriwa kwa kiwango cha Shule za Upili. Suraya Nne inahusisha Fasihi:Fasihi Simulizi na Fasihi Andishi. Sura ya Tano ina Majaribio ya Mitihani, Mazoezi na majibu ya Majaribio matano ambayo yameangazia karatasi zote tatu. Suraya Sita inahusisha majibu ya Mazoezi na majibu ya Majaribio. Upekee wa kitabu hiki unatokana na muundo wake mahsusi hall kwamba,baada ya kila kipengee kinachoshughulikiwa, kuna zoezi andalizi na majibu mwafaka ambayo yametolewa mwishoni mwa kitabu iii kumwelekeza mwanafunzi inavyohitajika. Majaribio matano pendekezi humu kitabuni yamelenga muundo na mtindo wa mtihani wa kitaifa KCSE na itawafaa walimu na wanafunzi katika kuandaa mazoezi ya darasani na mitihani yaziada.

ISBN: 9789966002334 SKU: 2010127000545
KES 871
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect