Kisasi Hapana! 8a

by Ken Walibora


Kisasi Hapana! 8a ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za .msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: masimulizi rahisi kwa njia ya barua ya kirafiki, utambaji hadithi, hadithi ndani ya hadithi na usimulizi kwa nafsi ya kwanza umoja. kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashbihi, takriri, kejeli, chuku, tanakali za sauti, maswali ya balagha, taswira na picha za rangi zenye kusisimua. kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani na vijijini, michezo, afya, umuhimu wa elimu, kuwaheshimu watu wazima na wazazi, uwajibikaji, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, jinsia, haki za binadamu na haki za watoto. 

ISBN: 9780195734331 SKU: 2010143000433
KES 284
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect