Kiswahili Angaza Mwanafunzi Grade 6 (Approved)


Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 6 ni kitabu kilichotungwa na kusukwa kwa makini na kwa kina kirefu. Kitabu hiki kimetosheleza mahitaji yote ya mtaala waumilisi. Kinakuza umilisi uliopendekezwa kwenye mtaala, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia kwa stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma,Kuandika na Sarufi.

 

SKU: BK00000005346
KES 763
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect