Kiswahili gani

by Lilian Wairimu


Kiswahili Gani ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za Nasaha Zetu zinazochapishwa na KLB. Hadithi hii ni ya wanafunzi wa darasa la Nne. Mliwa kwa muda mrefu ametamani kwenda sokoni ili akutane na watu wengi. Anamsihi mamake waandamane naye wakati mmoja. Mliwa na mama yake wanafunga safari kwenda sokoni.Wakiwa njiani, wanakutana na kuandamana na watu tofauti. Mliwa haelewi lugha wanayozungumza watu hawa. Anashangazwa mno. 

Je, watu hawa wanazungumza lugha gani? 

ISBN: 9789966101358 SKU: 2010143000712
KES 136
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect