Kiswahili Kwa Darasa la 6 Mwalimu

 • ISBN: 9966445013
 • SKU: 2010127000044

Hili ni toleo la pili la Kiswahili kwa Darasa la Sita Mwongozo wa Walimu. Kitabu hiki ni cha tano katika mfululizo wa vitabu vinane vya wallmu vya lugha ya Kiswahili kwa shule za msingi.

Mwongozo huu wa walimu umeandikwa kwa njia itakayomfaa mwalimu kwa kumwangazia namna ya kushughulikia somo analofundisha. Mapendekezo ya shughuli za mwalimu na mwanafunzi yametolewa hatua kwa hatua katika kila somo. Vifaa anavyoweza kutumia mwalimu vimependekezwa kama_ inavyohitajika kuambatana na silibasi.

Inapobidi, maelezo na mifano zaidi ya funzo husika yametolewa kwa mwalimu ili aweze kulikabili funzo hilo kwa ujasiri.

Hatimaye majibu ya maswali na mazoezi yametolewa ambapo mwalimu anaweza kuyalinganisha na majibu yake mwenyewe au ya wanafunzi hasa pale ambapo jibu si moja tu. ;

KES 655

Unavailable

You can get an email alert when this product is back in stock.

Customer Reviews

This product does not have any reviews yet - be the first to write one.

You may also like

 1. Kiswahili Kwa Darasa la 6
  Kiswahili Kwa Darasa la 6
  KES 668
 2. Kiswahili Sanifu Darasa la 6
  Kiswahili Sanifu Darasa la 6
  by Bakhressa
  KES 695