
Kiswahili Kwa Darasa la 7 Mwalimu
by Watuha
Hii ni seti ya vitabu iliyojikita kwenye silabasi mpya ya shule za msingi na kunuiwa kuwasaidia wanafunzi kuongeza ujuzi wao wa lugha ya Kiswahili. Kila kitabu ni zao la utafiti wa kina wa mahitaji ya wanafunzi wa Kiswahili na kinakidhi matakwa yote ya lugha kwa kiwango husika.
Out of stock
KES 625

International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect