Kiswahili kwa Vyuo vya Ualimu

by Njogu


Kitabu hiki, Kiswahili Kwa Vyuo Vya Ualimu kimeandikwa iii kumnufaisha mwalimu mkurufunzi. Madhumuni yake hasa ni kumwauni ili awe mwalimu stadi wa lugha ya Kiswahili na pia aweze kufaulu kwa alama za juu katika mtihani wa walimu wakurufunzi (P.T.E). Kitabu hiki kimeshughulikia kwa undani mada zifuatazo:

  • Historia ya Kiswahili
  • Kusoma (ufahamu)
  • Kuandika (insha)
  • Matumizi ya lugha
  • Fasihi
  • Mbinu za kufundishia Waandishi wameandika kwa mtindo utakaomfaa mwalimu mkurufunzi yeyote.
ISBN: 996622498x SKU: 2020212000008
KES 607
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review