Kiswahili Swahiba Toleo la pili
by Wanto Warui
Kiswahili Swahiba ni kitabu chenye uwili unaokamilisha mazoezi kamili ya somo la kiswahi katika darasa la nane. Kina sehemu mbili ambazo ni INSHA a LUGHA. Kinaelezea kwa ufasaha aina zote za insha zinazotahiniwa katika mtihani wa kitaifa wa K.C.P.E . Aidha kina maswali ya majaribio ya lugha yasiyopungua elfu moja ambayo yametayarishwa vizuri kutoka sehemu zote za silabasi. Muundo wa kuyaandaa maswali unalingina sana na ule wa K.C.P.E ili kumpa mwanafunzi mwelekeo aula wa mtihani huo. Maswali yametungwa kwa ustadi mwingi kutokana na ujuzi wa hali ya juu wa mwandishi. Mwongozo wake wa majibu 118 ufafanuzi wa maswali sugu pia upo.
Ustadh Wanto Warui ni mwalimu na mwandishi aliyebobea katika Kiswahili. Ana tajriba ya miaka mingi ya ktifundisha KiswahiIi katika shule za upili na msingi. Aidha yeye ni malenga stadi na mashairi yake mengi na makala mbalimbali huchapishwa katika gazeti la Taifa Leo.

Reviews
Average rating: 5
from 2 reviews
5 |
2 five star reviews
|
---|---|
4 |
0 four star reviews
|
3 |
0 three star reviews
|
2 |
0 two star reviews
|
1 |
0 one star reviews
|
John P reviewed on 24 Mar 2019
Kiswahili Swahiba
A very wonderful book. My son used it and got 94% in KCPE. Good job.
jasp reviewed on 6 May 2021
Kiswahili Swahiba
A very good book. Well prepared and standard Kiswahili. A job well done.