Kitabu changu cha Kiswahili

by Njoroge


Kitabu hiki kimeandikwa nu mwandishi mwenye tajriba pana ya kufundishc katika Shule za Chekechea nchini Kenya. Muundo wa kitabu hiki utamsaidia mwanafunzi kupata msingi imam wa elimu ya kiwango cha Chekechea. Mwanafunzi anahakikishiwa stadi muhimu zinazohitajika katika kujenga msingi dhabiti masomoni. Kitabu hiki kitamsaidia mwanafunzi:

  • Kusoma vokali
  • Kusoma silabi za vokali
  • Kulinganisha picha na jina
  • Kuchora picha ya jina
  • Kutunga sentesi kutokana no picha Vitabu vingine katika msururu huu ni:
  • Kujaza nafasi kwa vokali
  • Kutunga maneno kwa vokali na silabi
  • Kuandika maneno vizuri
  • Kutunga sentesi kwa maneno
  • Kinyume, Tarakimu na Wingi
ISBN: 9789966788924 SKU: 2010127000542
KES 320
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect

Reviews

Average rating: 5

from 1 review

5 1 five star review
4 0 four star reviews
3 0 three star reviews
2 0 two star reviews
1 0 one star reviews
Add your review
Add your review