Kiti cha Moyoni na hadithi nyingine

Kiti cha Moyoni na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi ishirini ambazo zinathibitisha kwamba uwanja huu wa fasihi ya Kiswahili umefikia ukomavu wa hali ya juu katika vipengele vyake vyote: kimaudhui (ambayo ni anuwai: mapenzi, unyumba, siasa, uchumi, ucheshi, uana, utamaduni, mazingira, ufisadi, utandawazi na taathira zake kimataifa, n.k.); kimtindo na ujumi (ambao umezikoleza utamu na ladha hadithi zenyewe, hasa katika mtindo mpya wa fantasia na mkengeuko wa ukweli kama tunavyoujua kila siku). Bila shaka, mna ukwasi wa lugha, unaokwepa Kiswahili cha darasani; hasa kwa wingi wa ufundi wake uliojaa misamiati, jazanda, sitiari na tamathali zote za semi kwa ujumla.

KES 545

Product Information

Product code2010129000034
SKU2010129000034

Customer Reviews

This product does not have any reviews yet - be the first to write one.

You may also like

 1. Mkasa wa Shujaa Liyongo
  Mkasa wa Shujaa Liyongo
  by Bitungi Matundura
  KES 258
 2. Hadithi za Furaha Kitabu Cha 1
  Hadithi za Furaha Kitabu Cha 1
  by Kingei
  KES 215
 3. Mizani Yangu
  Mizani Yangu
  KES 369
 4. Chungu cha Zai
  Chungu cha Zai
  by Atibu Bakari
  KES 115
 5. Tenzi Tatu za Kale
  Tenzi Tatu za Kale
  by MM Mulokozi
  KES 490
 6. Usiku wa Manane
  Usiku wa Manane
  by John Kobia
  KES 360