KLB Early Grade Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi 1

by KLB


Kitabu hiki cha Kiswahili Mazoezi ya Lugha cha Gredi ya 1 kinatumia mbinu za ujifunzaji ambazo zimefanyiwa utafiti. Mbinu hizi zitamsaidia mwanafunzi kukuza stadi za lugha ambazo hatimaye husaidia ukuzaji wa umilisi wa kimsingi, ukuzaji wa maadili na utekelezaji wa shughuli za kijamii pamoja na kuzingatia masuala mtambuko. Masuala makuu yaliyo katika kitabu hiki yametumiwa kama chombo cha kukuza stadi nne za lugha: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika.

ISBN: 9789966656285 SKU: BK00000005946
KES 406
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect