Kusema Ukweli


Kusema Ukweli ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za Kiswahili za Nasaha Zetu zilizochapishwa no KLB. Hadithi hii ni ya watoto wa darasa la kwanza. 

Hadithi hii inahusu mwalimu wao, Bwana Bidii, ambaye anaugua. Wanafunzi hawa wanajadiliana na kujiandaa na mwalimu wao mpya, Bi Chapakazi, iii kwenda kumtembelea Bwana Bidii. Je, Bwana Bidii anaugua nini na atawashauri wanafunzi hawa vipi? 

 

KES 144
UPC2010143000535
Author KLB
ISBN 9789966447623
Weight (kg) 0.1
SKU2010143000535
International delivery
Free delivery on orders over KSh 0
Free click & collect

Reviews

Leave a product review
or cancel