Longhon hadithi gari la maria

by Sanja Leonard Leo


Wakati wa somo kuhusu vyombo vya usafiri, Maria anaonesha kipawa cha kipekee. Anawashangaza wanafunzi wenzake anapowaonesha kinyago cha gari alichokitengeneza mwenyewe. Je, Maria aliwezaje kukitengeneza kinyago hiki kilichowavutia wanafunzi wenzake zaidi?

Hadithi Mufti za Lenghern ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.

ISBN: 9789966642004 SKU: 2010143001086
KES 234
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect