Longhorn Kusoma na Kuandika Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Grade 2


Kusoma na Kuandika katika Kiswahili, Gredi 2 ni kimoja miongoni mwa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa utendaji na uvumbuzi wa maarifa.
Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata maarifa ya kimsingi, stadi zifaazo za kusoma na kuandika, mienendo miema na maadili ya kimaisha pamoja na utumizi kamili wa maarifa wanayoyapata darasani.
Shughuli na mazoezi katika kitabu hiki zimejikita kwenye uzoefu wa wanafunzi wa kila siku pamoja na masuala ya kisasa na ibuka kama yalivyofafanuliwa kwenye mtaala mpya. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi na inayoibua tafakari tanduizi iii kukuza ujuzi wa kutafakari na kuimarisha stadi za kimaisha za usuluhishaji wa matatizo iii kukidhi mahitaji ya wanafunzi katika jamii.

KES 449
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010127000716
Author Hezekiel Gikambi,Henry T. Indindi, Danson Khasiani,Rachel Maina.
ISBN 9789966640154
Weight (kg) 0.4
SKU2010127000716

Reviews

Leave a product review
or cancel