Longhorn: Sudi na Shada Darasani GD1

by Momanyi


Shada na Sudi pamoja na wenzao wamo darasani wanasoma kuhusu aina za rangi. Shada anawauliza wenzake swali kutaka kujua kama wanayaelewa mazingira ya darasani mwao. Je, swali hili linahusu nini? Wanafunzi wanapata jibu lake ama wanashindwa?

Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewawao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanefunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.

ISBN: 9789966641915 SKU: 2010143001096
KES 258
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review