Longhorn :Sudi na Shada Wasoma Kazi Mbalimbali Grade 3

by Ngugi


Sudi na Shada ni wanafunzi ambao wanasoma katika gredi ya tatu. Wanasoma kwa bidii ili kufanya kazi mbalimbali. Je, Sudi na Shada wanataka kufanya kazi zipi maishani? Fikra zao kuhusu kazi hizi ni zipi?

Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.

ISBN: 9789966642103 SKU: 2010143001088
KES 234
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect